OKWI AKIWA NA KIKOSI CHA ETOILE DU SAHEL |
Yanga sasa inakutana na Etoile du Sahel ya
Tunisia katika mechi ya Kombe la Shirikisho.
Yanga imefuzu kuingia raundi ya pili ya Kombe la
shirikisho kwa kuwang’oa Platnum ya Zimbabwe kwa jumla ya mabao 5-2.
Wakati sare ya bao 1-1 dhidi ya Benfica ya Angola
imeifanya Etoule aliyowahi kuichezea Emmanuel Okwi kufuzu kwa jumla ya mabao
2-1 baada ya kuwa imeshinda bao 1-0 kwao Tunisia.
Yanga itakutana na Etoile katika mechi ya kwanza
itakayopigwa Aprili 19 hadi 19 jijini Dar es Salaam na kurudiana Mei Mosi hadi
3 jijini Tunis.
0 COMMENTS:
Post a Comment