Mshambuliaji mkongwe wa Chelsea, Didier Drogba amekutana
na mshikaji wake na kwa pamoja wakajiachia katika tamasha la filamu jijini
Cannes nchini Ufaransa.
Wawili hao wamekutana na hii si mara ya kwanza, kwani
Snoopy ambaye ni rapa maarufu kutoka Marekani aliwahi kumtumia salamu za
pongezi Drogba baada ya Chelsea kutwaa ubingwa wa Ulaya mwaka 2012.
0 COMMENTS:
Post a Comment