Wakati dogo Raheem Sterling akizingua kusaini
Liverpool ambayo inaonekana kuachana naye, winga mwingine mwenye kasi yeye
amemwaga wino Liverpool.
DAILY MAIL
Huyo ni Jordon Ibe ambaye amekuwa akifafanishwa sana
na Sterling kwa muonekano lakini hata kiuchezaji.
Ibe amesaini mkataba wa miaka mitano kuendelea
kuitumikia Liverpool.
Lakini beki Jon Flanagan naye ameongeza mkataba na
Liverpool kwa mwaka mmoja.
DAILY MAIL
0 COMMENTS:
Post a Comment