Taifa Stars imefungwa mabao 2-0 na
Madagascar na kutolewa katika michuano ya Cosafa.
Stars imeonyesha kiwango cha chini na
kupoteza mchezo huo.
Maana yake, kwa kipigo hicho, Stars imecheza
mechi mbili bila bao wala pointi baada ya kuwa imepoteza kwa mabao 1-0 dhidi ya
Swaziland.
Sasa Stars imebakiza mechi moja tu dhidi ya
Lesotho ambayo itakuwa ni kama ya kirafiki tu.













0 COMMENTS:
Post a Comment