May 8, 2015


Kiungo mwenye kasi wa Manchester United, Memphis Depay anaonekana atasaidia kuuchangamsha mfumo wa Kocha Louis van Gaal.


Depay raia wa Uholanzi atatumika katika mfumo wa 4-3-1-2 wa van Gaal ambao ulikuwa ukilalamikiwa.

Pamoja na Depay, mwingine ambaye anatarajiwa kusainiwa na Man United ni beki wa kati ya Dortmund, Mats Hummels pia kiungo wa timu hiyo ya Ujerumani, Nathaniel Clyne.

Mfumo huo ulikuwa ukionekana si mzuri kwa wachezaji wa Manchester United. Lakini sasa umebadilika na kuonekana unaweza kufanya kazi.
Kwani katika mechi za mwishoni, kutoka nafasi ya saba, Man United imekuwa kati ya timu zinazowania nafasi nne za juu.


Tayaro Chelsea ni mabingwa, Arsenal na Man City zinapambana katika nafasi ya pili na Man United inakomaa kuipata ya nne.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic