Man City ikiwa ugenini imeishinda Swansea kwa mabao 4-2 katika mechi ya Ligi Kuu England huku Yaya Toure na Wilfred Bony raia wa Ivory Coast wakifunga mabao matatu kati ya hayo.
Toure alifunga mabao mawili kabla ya Bonny aliyewahi kuichezea Swansea kufunga moja.
Swansea (4-2-3-1): Fabianski 5; Richards 5, Fernandez 6, Williams 6.5,
Taylor 6, Cork 6, Shelvey 6 (Britton 77), Dyer 5.5 (Barrow 73, 6), Sigurdsson 7
(Emnes 83), Montero 6.5; Gomis 7.
Subs not used:, Grimes, Tremmel, Bartley, Tiendalli.
Manchester City (4-2-3-1): Hart 8; Zabaleta 6, Demichelis 5.5, Mangala 5, Kolarov
6; Toure 7.5 (Bony 85), Fernandinho 6 (Kompany 80); Milner 7, Lampard 7 (Navas
59, 6), Silva 6.5; Aguero 6.5.
Subs not used: Dzeko, Caballero, Clichy, Jovetic.
Booked: Zabaleta, Milner, Fernandinho
Referee: Mark Clattenburg 6.5
MOM: Joe Hart
Attendance: 20,669
Remaining fixtures:
Swansea - away at Crystal Palace
Manchester City - home to Southampton
0 COMMENTS:
Post a Comment