June 29, 2015


Mwanasoka bora wa dunia, Cristiano Ronaldo atadumu kwa miaka minne ijayo lakini baada ya hapo, gumzo litakuwa ni kwa Cristiano Junior.


Huyo ni mwanaye wa kumzaa ambaye tayari anaonyesha ni mwenye kipaji cha ju katika soka.
Junior ameonyesha mbwembwe zake wakati wakila raha na baba yake katika visiwa vya bahama.

Uwezo wake wa kupiga pasi, danadana pamoja na mbwembwe zote zinaonyesha mtoto huyo wa staa wa Real Madrid, atakuja kuwa soo.
MWENYEWE ANGALIA PICHA.







0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic