Rasmi uongozi wa Yanga umewatambulisha wachezaji wake Donald
Ngoma kutoka Zimbabwe na Joseph Zuttah ‘Tetteh’ raia wa Ghana.
Wawili hao wameingia mkataba wa miaka miwili kuinoa Yanga na leo
walitambulishwa na Mkuu wa Kitengo cha Habari cha Yanga, Jerry Muro.
0 COMMENTS:
Post a Comment