July 2, 2015

MANGALA AKIWA NA MOZGOV.
Beki wa kati wa Manchester City, Eliaquim Mangala ni kati ya wachezaji wenye mwili mkubwa katika kikosi hicho.


Pia ni kati ya wachezaji wenye miili mikubwa katika Ligi Kuu England. Lakini mkubwa unapozungumzia Ligi ya Mpira wa Kikapu Marekani (NBA).


Maana Mangala alikutana na mchezaji wa timu ya Cleveland Cavaliers, Timofey Mozgov. Dah! Alionekana kama mtoto.
MANGALA (KUSHOTO) AKIWA NA MAN CITY.
MOZGOV AKIWA NA LEBRON JAMES WAKIWA KAZINI...

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic