July 2, 2015


Kikosi cha Chile kiko tayari kwa ajili ya mechi ya fainali dhidi ya Argentina, Jumamosi.

Fainali hiyo ya Copa America inasubiriwa kwa hamu kubwa na mashabiki wa bara la America Kusini na duniani kote.


Chile wamekuwa wakiendelea na mazoezi huku wakiwa na matumaini makubwa ya kuwapa raha mashabiki wao ambao ndiyo wenyeji wa michuano hiyo.
Matumaini makubwa ya Chile ni kwa kuwa wameweza kuingia fainali ya michuano hiyo ambayo waliikosa kwa zaidi ya miaka 20.








0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic