|
BABA MURO |
Mwili wa baba mzazi wa Mkuu wa Kitengo cha Habari cha Yanga,
Jerry Muro umesafirishwa kwenda Machame kwa ajili ya shughuli za mazishi.
Mwili huo umesafirishwa leo baada ya shughuli za ibada na
kuaga zilizofanyika jijini Dar es Salaam.
Kesho tutawaataarifu zaidi kitakachokuwa kinaendelea.
0 COMMENTS:
Post a Comment