Ukiona hii picha unaweza
kujua ndiyo zile purukushani za mshambuliaji wa Chelsea, Diego Costa aliyemkwangua
beki wa Arsenal, Gabriel Paulista.
Ingawa Costa
ameishafungiwa mechi tatu, lakini hii ni ishu nyingine kabisa.
Beki wa Hull City, Curtis
Davies naye ameonyesha soka si mchezo wakati timu yake ilipokutana na Swansea
katika michuano ya Capital One Cup.
Kupitia mtandao wa
Twitter, beki huyo ameonyesha soka lilivyo kwamba kweli ni mchezo wa kiume.
0 COMMENTS:
Post a Comment