Real Madrid imekwenda sare ya bila mabao dhidi ya PSG iliyokuwa nyumbani jijini Paris, Ufaransa. Mechi hiyo ya Ligi ya Mabingwa Ulaya hatua ya makundi, kila timu ilikuwa inacheza mechi ya tatu.
Mshambuliaji Cristiano Ronaldo alishindwa kuonyesha cheche kwa kufunga wakati Ronaldo de Lima wa Brazil akiwa jukwaani.
Ronaldo alikuwa jukwaani kushuhudia mechi hiyo. Sasa timu zote zimefikisha pointi 7 na Madrid inabaki kileleni.
PSG XI: Trapp; Aurier, Thiago Silva, Marquinhos, Maxwell; Verratti (Lavezzi 80), Thiago Motta, Matuidi; Di Maria (Pastore 66), Ibrahimovic, Cavani (Moura 66)
Subs not used: Kurzawa, Van der Wiel, Rabiot, Sirigu
Booked: Matuidi, Verratti, Aurier
REAL MADRID XI: Navas; Danilo, Varane, Sergio Ramos, Marcelo; Lucas Vazquez, Toni Kroos, Casemiro, Isco; Jese (Cheryshev 73), Ronaldo (Modric 69)
Subs not used: Nacho, Kiko Casilla, Kovacic, Marcos Llorente, Borja Mayoral
Booked: Ramos, Vazquez, Cheryshev
Referee: Nicola Rizzoli (Italy)
0 COMMENTS:
Post a Comment