April 19, 2016
Kuelekea mchezo wa pili wa Hatua ya Pili ya komeb la Shirikisho, kikosi cha Azam kinaonekana kikiwa fiti kueleka mchezo huo utakaopigwa majira ya saa tatu usiku kwa muda wa Afrika Mashariki.

Pichani ni wachezaji wa Azam walipokuwa wakifanya mazoezi kwenye Uwanja wa Olympique de Radès ambapo ndipo mchezo wao dhidi ya Espérance de Tunis ya Tunisia utakapochezwa kuamua hatima yao juu ya kusonga mbele au kuwa mwisho wa safari.Katika mchezo wa kwanza Azam uliopigwa kwenye Uwanja wa Azam Complex jijini Dar, Azam ilipata ushindi wa mabao 2-1, mabao yao yakifungwa na Farid Musa na Ramadhani Singano huku lile lwa Waarabu hao likifungwa na Haythem Jouini.1 COMMENTS:

  1. MUNGU IBARIKI AZAM,MUNGU IBARIKI YANGA.

    ReplyDelete

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV