May 1, 2016


Ni safari ya saa mbili au mbili na robo hivi kwa basi kutoka katika mji Leicester hadi katika jiji la Manchester nchini England.

Leicester City wanataka kuwa mabingwa wa England. Wanachotakiwa ni kuifunga Manchester United katika mechi ya leo kwenye Uwanja wa Old Trafford.

Jana waliamua kusafiri kwa muda huo kutoka kwao hadi Manchester ili kuwavaa wenyeji ambao sasa wanaonekana kuwa vizuri.

Itakuwa  mechi tamu ya kuangalia na hakika kila mmoja angependa kuiona.


0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV