UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa upo uwezekano mkubwa wa timu hiyo kushiriki mashindano ya African Super League ambayo yanatarajiwa kuanza kufanyika hivi karibuni.
Leo Machi 12 nchini Morocco kulikuwa na uchaguzi wa wa CAF nchini Morocco ambapo Rais mpya amepatikana ambaye ni Patrice Motsepe mmiliki wa Klabu ya Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini.
Barbara Gonzalez, Mtendaji Mkuu wa Simba amesema kuwa kuna mpango wa kuanzisha mashindano ya African Super League na yatashirikisha timu 20.
Ikiwa mashindano hayo yataanza kwa Tanzania, Simba itakuwa imepenya jumla kwa kuwa kwa sasa ipo hatua ya 16 bora ya mashindano ya Ligi ya Mabingwa Afrika.
Barbara ameandika namna hii kupitia ukurasa wake wa Instagram:"Ulikuwa ni wasaa mzuri kukutana na Rais wa FIFA, Gianni Infantino pembezoni mwa mkutano wa CAF Elections2021.
"Maandalizi ya kuanza kwa African Super League ambayo itashirikisha vilabu 20 yanaendelea. Tunatarajia kwamba Simba itashiriki hivi karibuni,".
Aliyenacho huongezewa
ReplyDeleteHivi ile kesi yake ya kutaka kubakwa Zenji imefikia wapi?
ReplyDeleteNani mama yako ndie alitakwa kubakwa?
ReplyDeleteDada Barbara pole sana naona swali limekukera sana
Deleteuto walitaka kubaka mkataba wa morrison. kweli akili yao inafikiria kubaka tu! ndiyo wao walianzisha msamiati penalti ya kubaka, ushindi wa kubaka...kwa kweli akili yao iko huko huko...walichowafanyia makocha na hata huko nyuma wachezaji ni hivyo hivyo wanavyofikiria. ..timu ya ....
DeleteHii Simba inahitaji kushindana na timu za hadhi zake sio tunashindana na vitimu kama utopolo
ReplyDeleteuto wao wanafikiria vitu kama kombe la Mapinduzi...Hivi FA Cup si wanakutana na Prison pale Nelson Mandela?
ReplyDeleteSenzo atakuwa anajionaje sijui, kazi aliyoiacha mwana mama anatakata tuu kimataifa yeye kadoda matopeni
ReplyDeleteHa! Ha! Kweli kabisa senzo kaishia umbeya tu kiutendaji ziro
DeleteTeam imara huwa namafanikio imara, team dhaifu Ina mafanikio dahaifu. Hongereni Simba imara napoleni wote wenye viteam vidhaifu na mafanikio dhaifu
ReplyDeleteafadhali tuondoke kwenye hii ligi,yaani tim yetu haistahili kucheza ligi hii
ReplyDeleteafadhali tuondoke kwenye hii ligi,yaani tim yetu haistahili kucheza ligi hii
ReplyDeletePrisons Fc kawatoa kamasi mikia fc, na bado Elmerek wanakuja kuwafundisha mpira kwa Mkapa, ili mkate rufaa ya point 6 za mezani!
ReplyDeleteYanga wanacheza na Prison FA cup sio kwa Mkapa bali ni Nelson Mandela..kuna uwezekano kuwa hata wao Yanga watatolewa kamasi...matumaini ya kufuzu hatua inayofuata kwa Yanga ni ndogo..labda wacheze kama Simba.Je uwezo huo wanao
Delete