Lukas Podolski amefunga bao moja tu muhimu na kuiwezesha Galatasaray kutwaa ubingwa wa Kombe la Uturuki kwa mara ya pili mfululizo wakiwafunga wapinzani wao wakuu Fernahance kwa bao 1-0.
Mshambuliaji Robin van Persie aliyeingia kipindi cha pili na Luis Nani aliyeanza, walishinda kuonyesha cheche na kuikoa Fernerbahce.
Galatasaray: Nando, Semih, Denayer, Hakan Balta, Carole, Selçuk, Emre, Sinan, Sneijder, Yasin, Podolski
Subs not used: Cenk, Bilal, Umut, Chedjou, Linnes, Olcan, Sabri.
Goals: Podolski 33'
Fenerbahce: Fabiano, Ali, Ba, kjaer, Sener, Topa, Josef, Volkan, Nani, Alper, Van Persie
0 COMMENTS:
Post a Comment