Kikosi cha Azam FC, kimeendelea na mazoezi kujiandaa na msimu moya chini ya Kocha kutoka Hispania, Zeben Hernandez raia wa Hispania.
Hernandez akiwa na makocha wengine kutoka Hispania wameendelea kukifua kikosi chao kuhakikisha kinakuwa bora na tayari kwa ajili ya msimu mpya wa 2016-17.
0 COMMENTS:
Post a Comment