July 7, 2016


Kifungo cha miezi 21 alichohukumiwa Lionel Messi katakana na kukwepa kodi nchini Hispania kimekuwa gumzo.

Lakini habari njema kwa mashabiki wa soma wa Barcelona ni kwamba mshambuliaji huyo anaweza kuendelea kucheza soka wakati kifungo hicho kikiendelea.

Kikubwa ambacho mahakama imesisitiza ni lazima alipe faini pauni million 1.7.

Baba yake mzazi, George Messi naye amekumbana na adhabu hiyo pamoja na faini ya pauni million 1.5.

Kifungo cha nyota huyo wa Argentina pamoja na baba yake mzazi kwa sababu ya kukwepa kodi kimeonyesha kiasi gani serikali za nchi za Ulaya zilivyo makini katika suala la kodi.

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV