July 26, 2016


Kocha Jose Mourinho, ameonyesha hataki mchezo baada ya kuwataka wachezaji wake kwenda mazoezi dakika chache baada ya kuwasili England wakitokea Beijing, China ambako wamesafiri kwa saa 11.

Kabla ya kuondoka Beijing, Man United ilitarajiwa kucheza mechi ya kirafiki dhidi ya Man City, lakini mechi ikaahirishwa kutokana na hali mbaya ya hewa na uwanja kuharibika. 


MECHI WALIZOCHEZA MAN UNITED NA WANAZOSUBIRI KUCHEZA:
July 16 Wigan Athletic (DW Stadium) -won 2-0
July 22 Borussia Dortmund (International Champions Cup - Shanghai Stadium, Shanghai) - lost 1-4
July 25 Manchester City (International Champions Cup - Bird's Nest Stadium, Beijing) - cancelled
July 30 Galatasaray (Ullevi, Gothenburg) 6.30pm
August 3 Everton (Wayne Rooney testimonial - Old Trafford) 8pm
August 7 Leicester City (Community Shield - Wembley)0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV