July 19, 2016

BUKUNGU KULIA, AMETEMWA. KUSHOTO NI NDUSHA AMBAYE ANALAZIMIKA KUSUBIRI.

Beki wa zamani wa TP Mazembe, Besala Jenvier Bukungu amekosa nafasi ya kuichezea Simba.


Bukungu alikuwa akifanya majaribio katika kikosi cha Simba chini ya Kocha Joseph Omog ambaye hajavutiwa naye ingawa bado kuna mjadala kuhusiana na kiungo Moussa Ndusha.

Ndusha naye ni Mkongo aliyewahi kung'ara na kikosi cha Polisi Rwanda ambaye ameonekana kukubalika na Omog na Msaidizi wake, Jackson Mayanja.

Lakini kuna mjadala kama kiwango chake kina tofauti kubwa na viungo wengine wazawa ambao wamejiunga na Simba wakitokea Mtibwa Sugar.



anvier Bukungu na mwenzake Moussa 

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic