July 19, 2016


KATIBU MKUU WA SIMBA, PATRICK KAHEMELE (KULIA) AKIWA NA WACHEZAJI HAO BAADA YA KUWASILI JIJINI DAR ES SALAAM.

Uongozi wa Simba umeendelea kushusha wachezaji kwa ajili ya majaribio baada ya raia wawili wa DR Congo kutua nchini kwa ajili ya majaribio.

Wachezaji hao ni Masanga Masudi Cedric ambaye ni kiungo mshambuliaji kutoka klabu ya Sanga Bahende ya Congo na 

Mayenge Bionik beki wa kati kutoka Lupopo FC.

Wachezaji tayari wametua mjini Morogoro tayari kuanza mazoezi chini ya Kocha Joseph Omog.

1 COMMENTS:

  1. Wamekuja kuanzisha bendi ya ndombolo ya Chura fc music!

    ReplyDelete

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV