August 22, 2016

Beki wa Ndanda FC, Aziz Sibo aliumia mguu katika mchezo wa timu yake dhidi ya Simba uliofanyika Jumamosi iliyopita, licha ya awali kuonekana hakuumia sana lakini salehjembe imepata picha zake akiwa amefungwa plasta ngumu maarufu kwa jina la hogo.
Sibo amefungwa hogo lakini anaendelea vizuri, taarifa zaidi kuhusu maendeleo yake endelea kufuatilia katika mtandao huu utapata habari kamili.


Katika mchezo huo wa ufunguzi wa Ligi Kuu Bara, Simba ilipata ushindi wa mabao 3-1.

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV