Katibu Mkuu wa zamani wa Simba, Kassim Dewji (kulia) akiwa na mwanaye Minhal Dewji wakijadili jambo baada ya kuishuhudia Simba kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, jana.
Simba ilisherekea miaka 80 kwa kuitwanga AFC Leopards ya Kenya kwa mabao 4-0 katika mechi ambayo kikosi hicho kilionyesha kiwango safi kabisa.
Dewji alikuwa Katibu Mwenezi wa Simba wakati timu hiyo ilipotinga fainali ya Kombe la Caf mwaka 1993 na ilipotinga robo fainali ya Ligi ya Mabingwa (klabu Bingwa) mwaka 2003, alikuwa ni katibu mkuu.
0 COMMENTS:
Post a Comment