September 29, 2016


Mshambuliaji Cristiano Ronaldo ni mshindani hasa na hapendi kuona kikosi chake au yeye hawafanyi vizuri.

Baada ya sare ya mabao 2-2 dhidi ya Borussia Dortmund katika mechi ya Ligi ya Mabingwa Ulaya, Ronaldo ameamua kurejea gym.


Ameamua kufanya mazoezi ya ziada na haya si yale yanayokihusu kikosi lakini anataka kuwa vizuri zaidi na msaada kwa kikosi chake.

Ronaldo ameendelea kuonyesha ni mtu anayetaka kufanya vizuri na asiyebweteka na mafanikio aliyopata badala yake, juhudi na maarifa zinaendelea kumtangulia.


0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV