Bayern Munich imeendelea kupaa kwenye Bundesliga baada ya straika wake,Robert Lewandowski kufunga mabao mawili yenyewe ikishinda kwa 3-1.
Bayern imeitwanga Augsburg na kuendelea kujichimbia kileleni.
Kabla ya mechi ya leo, Bayern waliwatwanga wapinzani wao hao kwa mabao kama hayo katika mechi ya Kombe la Ujerumani.
0 COMMENTS:
Post a Comment