Wachezaji wa Yanga wmeonyesha furaha kubwa baada ya Kocha Hans van der Pluijm kurejea kazini na kuanza kuinoa Yanga tena.
Kocha huyo aliafanya hivyo leo asubuhi aliporejea kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar, na kuanza kazi tena ikiwa ni saa kadhaa baada ya kuangukiwa na Yanga ili arejee kazini.
Pluijm aliandika barua kujiuzulu baada ya Yanga kumuita Kocha wa Zesco ya Zambia, George Lwandamina na kufanya naye mazzungumza jijini Dar es Salaam.
0 COMMENTS:
Post a Comment