October 30, 2016


Yanga imeshinda kwa mabao 3-0 dhidi ya Mbao FC ya Mwanza katika mechi ya Ligi Kuu Bara kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.

Mechi hiyo haikuwa rahisi, lakini Yanga ilionyesha kiwango cha juu hasa katika kipindi cha pili na kuwazidi nguvu kabisa Mbao FC ambao wamepanda daraja msimu huu. Cheki pichaaaz.
0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV