November 24, 2016
Baada ya kujificha muda mrefu, hatimaye Cristiano Ronaldo ameonekana akiwa na mpenzi wake moya aitwaye, Georgina Rodriguez.

Ronaldo na mpenzi wake huyo mpya wameonekana mjini Paris, Ufaransa na kuzua gumzo kubwa, jana.
Lakini kilichowashangaza wengi zaidi ni Ronaldo kuvaa nguo zilizomficha akionekana alilenga kukwepa kujulikana.

Usiku wa kuamkia leo, licha ya kuwa na mechi za Ligi ya Mabingwa Ulaya, gumzo la mpenzi mpya limeonekana kuchukua nafasi kubwa.0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV