November 11, 2016


Taifa Stars inakwenda Zimbabwe kwa ajili ya mechi ya kirafiki na imeondoka leo huku wakiwa wamekutana na Simba ambao walikuwa wanatokea Mbeya.

Vikosi hivyo viwili vilikutana na baada ya hapo, wachezaji wa Simba walioteuliwa Stars wakaungana na wenzao na safari ikaanza.

Lakini ambao hawahusiki, wakakwea basi la Simba na kurejea zao makwao.














0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic