December 20, 2016


Gareth Bale hakusafiri na kikosi cha Real Madrid kwenda kwenye fainali ya Kombe la Dunia ambako waliibuka mabingwa kwa kuwachapa Kashima ya Japan kwa mabao 4-2.

Hii ilitokana na Bale kufanyiwa upasuaji na sasa tayari ameanza mazoezo kwenye Viwanja via Valdebebas jijini Madrid na kama haitoshi amepata ugeni wa Frank.


Frank Bale ndiye baba mzazi wa Gareth, jana aliibuka kwenye viwanja hivyo na kuungana na mwanaye kama sehemu ya kumsapoti na kumpa moyo katokana na kukabiriwa na majeraha.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic