Habari zilizotufikia hivi punde zinasema kuwa mwanamuziki wa Hip Hop
Bongo ambaye anasumbua na ngoma yake kali ya Muziki, Sharrif Thabit ‘Darassa’ amenusurika
kifo baada ya kupata ajali mbaya maeneo ya Ntobo barabara ya kuelekea
Mgodi wa Bullyanhulu Wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga.
Habari zimeeleza kuwa ndani ya gari hilo aina ya Toyota Harrier
ambalo dereva hajajulikana, Darassa alikuwa ameambatana na director
wake, Hanscana pamoja na producer wake, Abba Process na wote wametoka
salama.
TAZAMA VIDEO YA AJALI YA DARASSA HAPA CHINI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)










0 COMMENTS:
Post a Comment