December 18, 2016



Azam FC imeanza mzunguko wa kwanza kwa sare ya bila bao dhidi ya African Lyon katika mechi iliyopigwa kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar.

Wakati Azam FC ikianza kwa sare hiyo, Prisons imetwanga Majimaji kwa bao 1-0 katika mechi iliyopigwa kwenye Uwanja wa Sokoine mjini Mbeya.


Nayo Mbao FC ikiwa nyumbani CCM Kirumba, Mwanza. Imeitungua Stand United kwa bao 1-0 na kujiweka vizuri.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic