FARID MUSSA MAMBO SAFI, SASA KUPAA KWENDA HISPANIA KESHO Kiungo mwenye kasi, Farid Mussa anatarajiwa kuondoka nchini kesho kwenda Hispania. Mussa anakwenda kujiunga na klabu ya Derpotivo Tennerife ya Hispania. Awali alikwama kujiunga na timu hiyo kutokana na kuwa na matatizo ya usajili.
0 COMMENTS:
Post a Comment