December 27, 2016


Bao alilofunga kiungo Henrikh Mkhitaryan wa Manchester United ndiyo limekuwa gumzo usiku wote wa kuamkia leo.

Mkhitaryan alifunga bao hilo wakati Man United ikiitwanga Sunderland kwa mabao 3-1, jana.


Bao hilo lililopewa nina la “Half Scorpion”, alilifunga kwa kupiga kutumia unyayo wake wakati ikionekana kama mpira umempira.

Wanaojadili wamekuwa wakijadili mambo mawili. Wako wanaosema ni offside na wengine wamekuwa wakizungumzia ubora wake na kumpongeza Mkhitaryan ambaye asili yake ni Armenia.




0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic