Kocha wa Yanga, George Lwandamina alikuwa kati ya wachezaji wa Mufulila Wanderers ya Zambia.
Inawezekana utafufahia kumuona akiwa uwanjani kama mchezaji. Hii ni moja ya picha akichezea timu za veterani na anaonyesha alivyokuwa anajua kumiliki mpira.
Raia huyo wa Zambia ni kocha wa Yanga aliyechukua nafasi ya Hans van Pluijm.








0 COMMENTS:
Post a Comment