February 18, 2017


Katibu Mkuu wa Yanga, Charles Boniface Mkwasa anaamini kuwa kikosi chao hakitafanya utani katika mechi yao dhidi ya Ngaya ya Comoro.

Yanga inaivaa Ngaya katika mechi ya marudiano kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, leo. Hii ni baada ya ushindi wa mabao 5-1 wakiwa ugenini Moroni.

“Mechi ya Ligi ya Mabingwa Afrika hauwezi kufanya utani. Tunatakiwa kushinda mabao zaidi kwa ajili ya kuweka morali zaidi,” alisema.


“Tuaendelea kupambana na lengo letu ni kushinda tena na ikiwezekana kuweka rekodi,” alionegza.

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV