Baada ya mchezo wao dhidi ya Manchester United kuahirishwa, Man City wameona ni nafasi nzuri ya kufanya mazoezi nje ya England.
Sasa wamejichimbia Abu Dhabi ambako watakuwa wakifanya mazoezi kujiandaa dhidi ya Monaco. Pia mechi yao ya Kombe la FA dhidi ya Huddersfield, itakayopigwa wiki ijayo.
Kilichomvutria Pep Guardiola ni hali ya joto ambayo inamuwezesha kuandaa kikosi chake vizuri zaidi.
0 COMMENTS:
Post a Comment