March 31, 2017

FREDERICK ASENGA (KUSHOTO) AKIPOKEA ZAWADI YA JEZI BAAADA YA KUSHINDA SWALI KATIKA CHEMSHA BONGO YA MATAIRI YA AUSTONE.

Chemsha Bongo ya Matairi ya Austone imeendelea kupambana moto na kumwaga zawadi kupitia Gazeti Namba Moja la Michezo nchini la Championi.

Chemsha Bongo hiyo ambayo imekuwa gumzo, imekuwa ikitoa zawadi mbalimbali kama seti za vyombo, mipira, jezi, feni na majokofu.


PAUL PILI WA GOMA JIJINI DAR (KUSHOTO) AKIPOKEA ZAWADI YA MPIRA KUTOKA KWA IBRAHIM MUSSA WA CHAMPIONI.


Tayari watu kadhaa, wamejishindia kupitia gazeti la Championi baada ya kujibu maswali mbalimbali.


Matairi ya Austone ambayo yanasifika kwa uimara kwenye barabara za aina zote, yanatumika zaidi kwenye magari kama Canter, Coaster, Fusso na kadhalika.

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV