March 31, 2017
Katika ligi zote 5 kubwa za Ulaya, Antoine Griezmann wa Atletico Madrid ndiye anaongoza kwa kufunga mabao mengi kutoka pembeni. Amefunga 6.

Griezmann ni mmoja wa wachezaji wenye uwezo mkubwa wa kupiga mashuti akitokea pembeni mwa uwanja.

Wengine wamekuwa wakifanya hivyo kwa kiwango kikubwa ni Cristiano Ronaldo wa Real Madrid, Lionel Messi wa Barcelona na Arjen Robben wa Bayern Munich.

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV