March 31, 2017Brazil ndiyo timu ya taifa ambayo imefuzu kucheza katika michuano ya Kombe la Dunia tokea mwaka 1930 ilipoanzishwa.

Hii ni baada ya kufanikiwa kufuzu kucheza Kombe la Dunia nchini Russia mwaka 2018. Brazil ndiyo imekuwa timu ya kwanza kufuzu.


Licha ya kwamba ndiyo inayoongoza kwa kubeba makombe ya michuano hiyo, haijawahi kukosa hata mara moja.

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV