March 29, 2017


Mshambuliaji wa Taifa Stars, Ibrahim Ajibu akiwatoka walinzi wa timu ya taifa ya Burundi katika mechi ya kirafiki kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, leo.

Ajibu ni mmoja wa wachezaji vijana wa Tanzania wenye vipaji.


Katika mechi hiyo, Taifa Stars ilishinda kwa mabao 2-0 yakifungwa na Simon Msuva na Mbaraka Yusuf.
1 COMMENTS:

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV