March 24, 2017


Klabu ya Yanga imeandikiwe barua ya Onyo Kali kutokana na benchi lake la ufundi kumlalamikia mara kwa mara Mwamuzi wakati wa mechi ya utangulizi ya U20 kati ya timu hiyo na Simba iliyochezwa Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.   

Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) ndiyo lililofikia uamuzi huo ikionekana Yanga imekithiri kwa malalamiko.

Kuhusu mechi za Ligi Daraja la Pili (SDL Play Off)

Mechi namba 3 (Oljoro 1 vs Transit Camp 1). Klabu ya Oljoro imepigwa faini ya sh. 200,000 (laki mbili) kutokana na washabiki wa timu hiyo kumrushia mawe Mwamuzi akiwa uwanjani.

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV