April 18, 2017


Beki Mohamed Fakhi, ameendelea kusisitiza kwamba hana kadi ya tatu ya njano kama ilivyoelezwa na Kamati ya Saa 72.

"Sina kadi ya tatu, nina uhakika na rekodi zetu ndiyo ziko sawa," amesema Fakhi.

"Hivyo ninajiamini kuwa sikuwa na kadi," alisema Fakhi mara tu baada ya kumaliza kuhojiwa na  Kikao cha Kamati ya Katiba, Sheria na Hadhi za Wachezaji ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF).

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV