April 4, 2017


Mashabiki wa Arsenal, wameendelea kuandamana wakitaka Kocha Arsene Wenger aondoke.

Mashabiki hao sasa wamefikia kuweka mabango karibu kila sehemu wakishinikiza kocha huyo kuondoka.

Wamekuwa wakitaka aondoke wakiamini kwa miaka 20 aliyokaa, imetosha kwa kuwa wanahitaji mabadiliko.


Hata hivyo, Wenger rais wa Ufaransa amekuwa akisisitiza kuwa anataka kuendelea kubaki ili abadilishe mambo.

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV