Baada ya kufunga mabao mawili wakati Juventus ikiitwanga Barcelona katika mechi ya kwanza ya Ligi ya Mabingwa Ulaya, Paulo Dybala ameonyesha furaha yake kwa kushangilia kwa staili ya aina yake.
Dyabala alikuwa akizunguka kama tairi na huo inawezekana ukawa mwanzo wa ushangiliaji huo wa aina yake ambao tayari kumeanza kuwa gumzo mitandaoni.
Bao la tatu la Juve limefungwa na mkongwe Giorgio Chiellini.
0 COMMENTS:
Post a Comment