April 11, 2017


 Juventus iimeitwanga Barcelona kwa mabao 2-0 katika mechi ya kwanza ya Ligi ya Mabingwa Ulaya, Paulo Dybala akiwa shujaa kwa kufunga mawili.


Aliyefunga bao la tatu la Juve ni beki mkongwe Giorgio Chiellini ambaye ndiye aliwahi kuumwa na mshambulizi wa Barcelona Luis Suarez wakati akiichezea Uruguay katika Kombe la Dunia nchini Brazil. Chiellini alikuwa akiitumikia timu yake ya taifa ya Italia.

VIKOSI
Juventus: Buffon, Dani Alves, Bonucci, Chiellini, Alex Sandro,
Pjanic, Khedira, Cuadrado, Dybala, Mandzukic, Higuain.
Subs: Neto, Marchisio, Barzagli, Lemina, Asamoah, Lichtsteiner,
Rincon.


Barcelona: ter Stegen, Sergi Roberto, Pique, Umtiti, Mathieu,
Rakitic, Mascherano, Iniesta, Messi, Luis Suarez, Neymar.
Subs: Cillessen, Denis Suarez, Alcacer, Jordi Alba, Digne,
Andre Gomes, Alena.

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV