May 24, 2017
Mohammed Hussein Zimbwe amechaguliwa kuwa mchezaji bora msimu wa 2016-17 wa Ligi Kuu Tanzania Bara.

Zimbwe amebeba tuzo hiyo baada ya kuwashinda Aishi Manula, kipa wa Azam FC na kiungo mwenye kasi wa Yanga, Simon Msuva.


0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV