June 27, 2017


Hatimaye baba mzazi wa Jose Mourinho amezikwa.

Felix Mourinho aliigua kwa siku kadhaa kabla ya kupoteza maisha akiwa na umri wa miaka 79.


Leo amezikwa mjini Setubal nchini Ureno na Mourinho amesafiri kutoka Manchester, England hadi Ureno kushiriki mazishi.


Mourinho aliungana na mkewe na watoto wake wawili kushiriki mazishi ya Felix.

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV