June 8, 2017


Yanga imekuwa timu ya mwisho ya Tanzania kung’olewa katika michuano ya SportsPesa Super Cup.

Yanga imefungwa mikwaju 4-2 ya penalti na Wakenya AFC Leopards na kufanya timu za Kenya kuingia fainali.

Ushindi huo unaikutanisha Leopards dhidi ya watani wake Gor Mahia ambao wameitwanga Nakuru All Stars.
0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV